Dkt Reginald A. Mengi

Dkt. Reginald Abraham Mnegi ni mfanyabiashara na mfadhili. Ahitimu kama Mhasibu aliyesajiliwa na Scotland, alirudi Tanzania April 1971 na kujiunga na kampuni ya ukaguzi ya Coopers Brothers.
Mengi amekuwa mwasisi, mmiliki na mwenyekiti Mtendaji wa IPP Limited, kundi la kampuni zinazomilikiwa binafsi. IPP limited ilianzishwa kama kiwanda kidogo cha kalamu kinachoendeshwa kwa mkono jijini Dar Es Slaam. hivi sasa imepanuka na kuwa kampuni kubwa na kuwa na uzalishaji, bidhaa aniwai na kundi kubwa la kampuni Afrika Mashariki ina vyombo vya habari, vinywaji, vyombo vya nyumbani na vipodozi, utafutaji na u chimbaji wa madini. Dkt Mengi pia ana mpango wa gesi na mafuta , mashamba makubwa ya kilimo cha bustani, magari, saruji, dawa na sekta nyingine za utengenezaji bidhaa.
Chini ya IPP Media, kampuni tanzu ya IPP Ltd, Mengi amewekeza katika vyombo vya habari vya magazeti na vya elektroniki, Vyombo vya habari vya elektroniki ni Independent Television (ITV, Radio One, Eat Africa Television (EATV), East Africa Radio. Magazeti ni pamoja na The Guardian na toleo lake la Jumapili, Taifa Letu, sema usikike, This Day na Kulikoni. Kwa sasa Mengi ni mwenyekiti wa Chama cha wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania (MOAT_ na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania.
Mengi anasifiwa kwa kukuza uwezo wa kushawishi biashara nchini10Tanzania. Ametoa mchango mkubwa katika kuundwa kwa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA). Yeye na waanzishaji wengine wanne baadaye walianzisha Manufactureres Association, Baada ya kuruhusiwa kwa biashara huria ya uingizaji bidhaa nje, mwaka 1991. Tasnia ya uzalishaji nchini Tanzania ilijikuta inazidi kushindwa kushindana na bidhaa nafuu na za bandia zinazoagizwa kutoka nje. Baadaye mengi na wafanyabiashara wenzake walianzisha Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), kuratibu na kuunganisha aina mbalimbali za biashara chini ya shirikisho, CTI imekuwa chombo cha Dkt Mengi kuasisia mazungumzo ya biashara na Serikali cha kwanza Tanzania na ngazi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Tangu mwaka 1991 CTI imekuwa “sauti ya viwanda vya Tanzania”.
Ameshika nyadhifa mbalimbali za umma zikiwemo, Mwenyekiti wa Tanzania Newspapers Ltd, Kamishna wa Tume ya Kurekebisha mishahara, Mwenyekiti wa Bodi ya wahasibu na wakaguzi, Tanzania (NBAA), Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la usimamizi wa Usafi na Mazingira (NEMC), mwenyekiti wa Tawi la Tanzania Comon Wealth Press Club (CPU), Bodi ya wakurugenzi ya LEAD (Leadership for Enviroment and Development International). Mwenyekiti wa Shirikisho la Wenye viwanda Tanzania (CTI) Mwenyekiti wa Baraza la Jumuiya ya Afrika Masharika, Mwenyekiti wa ICC, Tanzania (National Committee of International Chamber of Commerce) na Mkurugenzi wa Bodi ya Baraza la Biashara la Jumuiya ya Madola.
Mengi alizaliwa kijiji cha Nkuu, Machame, Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Dkt. Mengi ni mtoto wa tano kati ya watoto saba wa Abraham Mengi na Mkewe Ndeekyo. Wengine ni Apansia, Elitira, Asantarabi, Karileni, Evaresta na Benjamini. Ameshukuru kwenye kitabu chake kuwa wazazi wake na kaka yake Elitira wameshawishi sana kupenda biashara. Elitira alikuwa na ushawishi mkubwa na mshauri wakati wa umri wa vijana wa miaka ya kwanza ya utu uzima. Mengi alisoma elimu yake ya msingi na sekondari mkoa wa Kilimanjaro ambako alipata wazo la kusomea taaluma ya uhasibu. Dkt Mengi ni mfadhili mkubwa. Amepata tunzo nyingi za kutambuliwa kimataifa, kikanda na kitaifa.
Biashara
Food & Beverages
Bonite Bottlers - Franchise for Coca Cola carbonated soft drinks brands
Mining
IPP Resources - mines gold, uranium, copper, chrome and coal)
IPP Minerals and Prospecting - mining, cutting, faceting and polishing of stones including Tanzanite, Ruby, Sapphire, Emerald and Alexandrite.)
Households & Beauty
number of brands including REVOLA. Manufactures and distributes under license the GIV Beauty Soap from “PT. Wings Surya (Indonesia).
TESA ULTRA WASHING POWDER
Familia & Marafiki
Maslahi jumuishi ya wanafamilia + Marafiki
Daughter. CEO of East Africa Media Limited.
Brother. Businessman, became involved in a property dispute. IPP media was said to have been defending B. Mengi. Police protocolls were released on wikileaks