This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/03/28 at 14:56
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Digitali

Kanzi data ya Digitali

Kama ilivyo kwa nchi nyingine za kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania imo kwenye mapinduzi ya simu za mkononi. Tangu mwaka 2012,  wastani wa bei za Smartphones imepungua kwa nusu; Watanzania wengi hivi sasa wanamiliki simu za mkononi na huduma za simu za mkonono si waya (wireless) zinahusika zaidi na uunganishaji mkubwa wa kwenye intaneti. Kuanzia mwaka 2012 mpaka 2017, kupenya kwa intaneti kumeongezeka maradufu, hata hivyo licha ya ukuaji huo wa haraka wa hadi 45% inaonyesha kuwa wakati huo huo 55% ya Watanzania bado hawapati intaneti kama inavyo ripotiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Haishangazi kwamba miongoni mwa huduma maarufu sana za mtandao ni – Facebook, Instagram, whatsup na Youtube. Hii imedhihirishwa na MCT. Na wala haishangazi kuamua kutumia huduma za Facebook (zinazojumuisha instagram) hazitumii Data.

Vyanzo mbadala vya Habari Mitandaoni ni Maarufu.

Hata hivyo jambo la kufurahisha ni kwamba, hata kabla ya Twitter na Google, tovuti ya habari na kueneza uvumi ya Jamii Forum inatajwa kuwa chanzo cha habari. Tovuti maarufu za habari haziendeshwi wala kufanana na vyombo vya habari vilivyozoeleka – bali huendeshwa na blogi huru. Kuwapo kwa magazeti mtandaoni si lazima yawe yanasomwa na Watanzania. Kwa kawaida tovuti hizi ni kama jukwaa mbadala la kutolea sauti na maoni yao. Hali hiyo imeacha uchungu kwa kuona kwamba serikali inafanya uamuzi nyeti kwa kuchelewa kwa waendesha blogi na majukwaa ya jamii. Wanatakiwa kujisajili na kulipa ada ya usajili, ambayo mara nyingi huwa haiwezekani kwa watu huru na kusababisha kufungwa kwa mitandao ya kijamii (kwa muda au kabisa)

“Je, unapata habari kutoka Intaneti mara ngapi?”

Wakati intaneti inaweza kuhaakisha upashaji habari katika sehemu nyingi duniani, hivyo si hali inayoweza kuwafikia wengi nchini Tanzania. Swali huli lililoulizwa na Africa media barometer 2017, limebainisha kuwa intaneti kama chanzo cha habari bado hakithaminiwi kama vilivyo vyombo vya habari vingine. Ni asilimia 17 tu ya Watanzania walio fanyiwa utafiti wanatumia intaneti angalau mara moja kwa mwezi, asilimia 8 tu kwa siku. Mitandao ya kijamii kama vile Facebook na Twitter inatumika sana kama chanzo cha taarifa.

Wingi wa Kiwango cha hadhira ya Mtandao.

Data kutoka Geopoll na pia alexa zinaonyesha kuwa hakuna wingi wa hadhira – tovuti huru zilizojumuishwa kwenye uchaguzi wa vyombo vya habari ni mali ya wamiliki kadhaa wanaoendesha aina hii mahususi tu ya tovuti. Miongoni mwa tovuti hizo ni Maxence Melo (Jamii Forum), Millard Ayo (Millardayo Blog), Issa Michuzi (Michuzi Blog)/. Hawajishughulishi kabisa na shughuli za biashara za vyombo vya habari vingine isipokuwa blogi za.

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ