Channel Ten
Channel Ten nintelevisheni ya biashara kitaifa inayotangaza kutoka Dar es Salaam. Ni miongoni mwa chanel tatu zinazomilikiwa na Africa Media Group Limited.
Channel Ten inapatikana barani Afrika kote na nje ya hapo kupitia satelaiti. Chaneli hii inapatikana kwenye miji mikuu yote Tanzania kwa kutumia cable network na digital terrestrial transmission. Inapatikana pia kwenye DSTV chaneli namba 292.
Inatangaza vipindi mbalimbali vikiwemo habari za nchini na za kimataifa, biashara, teknolojia, michezo, habari za burudani na vipindi vya mazungumzo. Kituo hiki ni nafasi ya 10 kwa hadhira ya XX.XXX% , kwa mujibu wa utafiti war obo mwaka ya pili ya GeoPoll mwaka 2018.
Isa za hadhira
Aina ya umiliki
Binafsi
Maeneo yanayofikiwa
Taifa
Aina ya maudhui
Free to Air
Kampuni ya vyombo vya Habari
Africa Media Group Limited
Muundo wa umiliki
Channel Ten iinaendeshwa na African Media Group Limited..
Haki ya kuchagua
Taarifa zisizopatikana
Kundi / Mmiliki Binafsi
Abji Shabbir Shamshudin
kwa mujibu wa wasifu wa kampuni, ni mwanaviwanda., Mtanzania, Tarehe ya kuzaliwa 15.01.1959. Hajioneshi
Shiraz Aziz Pira
kwa mujibu wa wasifu wa kampuni, ni mwanaviwanda. Uraia wake haufahamiki: Tarehe ya kuzaliwa 10.01.1946. Hajioneshi
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
Missing Data. African Media Group Ltd. was established in 1999
Mwanzilishi
Waasisi na wakurugenzi mpaka 2017: Mr. Ramesh Patel - Mfanyabiashara Mtanzania. Mr. Mehmood Mawji - Mfanyabiashara Mtanzania. Mr. Shabir Akber Dewji - Mfanyabiashara Mtanzania. Mr. Francesco Saverio Tramontano - Mfanyabiashara Mwitaliano. Mr. Gir
Mtendaji Mkuu
Abji Shabbir Shamshudin - Mwanaviwanda, Mtaanzania, Tarehe ya kuzaliwa 15.01.1959 # Shiraz Aziz Pira - Mwanaviwanda, Uraia wake haufahamiiki, Tarehe ya kuzaliwa 10.01.1946.
Mhariri Mkuu
Taarifa zisizopatikana
Mawasiliano
Channel Ten Television
P.O. Bo 19045, Dar-Es-Salaam
Tel.: +255222116341/6
Fax: +255222113112
E-Mail: channelten@amlg.c.tz
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Isa katika soko
Taarifa zisizopatikana
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
Kiwango cha hadhira kwa mujibu wa ripoti ya viwango vya GeoPoll ya Redio & TV (Aprili – Juni 2018).