This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/12/10 at 21:43
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Uwazi wa kitaasisi – thamani ya fedha inayokatisha tama

Kinadharia kuna upataji wa Taarifa (ATI), tangu mswada ulipopita kuwa sharia na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 7 Septemba 2016. Na watanzania wanaelekea kuwa waungaji mkono sana: 77% ya raia wana amini kuwa raia wa kawaida ni lazima wapate taarifa iliyonayo Serikali, 80% ya raia wanaamini kuwa rushwa na mambo mengine ya uhalifu yatapunguzwa iwapo raia wamepata fursa zaidi ya habari, nusu ya idadi ya watu watapanda kuwa na taarifa zaidi kutoka serikalini kuhusu sekta na huduma mbalimbali. 

Je, ATI inafanyakazi vizuri kiasi gani? Tumefanya majaribio na kuomba rasmi taarifa za umiliki kutoka BRELA. Hii imegharimu muda na fedha, kama utakavyoona hapo chini. vilevile tumepokea taarifa chache sana kuhusu umiliki kutoka TCRA na MAELEZO data zilizopo zilikuwa zinatofautiana na kwa jumla zilikuwa za kiwango kibaya. 


Je, kulikuwa na sababu gani?

Bila ya shaka, yafuatayo ni yale tuli yoyaona wakati safari zetu BRELA. Changamoto tuliziona tulipokuwa tunapitia upya majalada tuliyoomba BRELA. 

  1.  Mfumo mbaya wa usimamizi wa majalada. Maofisa wa BRELA wanaohusika wameshindwa kujua majalada tuliyoyaomba yalipo baadhi ya maofisa hawakuwa makini na kile kilichotakiwa.
  2. Matatizo ya watumishi: Ni maofiisa wawili tu ndiyo waliyowekwa kwenye chumba cha kupitia majalada. Na utuhudumia wateja wengi walifika BRELA. Pia maofisa wana husika walizidiwa na iadi ya maombi kwenye mtandao yanayotumwa kila siku – kwa hiyo majibu yalitumwa kwa kuchelewa sana. 
  3. Tabia ya uaminifu na kukosa uailifuBaadhi ya maofisa yaelekea hawakuwa tayari kutoa huduma kwa wakati mpaka walipopewa hongo kutoka kwa wateja wao (Lakini si kutoka kwe tu)
  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ