Africa Media Group Limited
Africa Media Group (AMG) ilianzishwa mwaka 2001 baada ya kuunganisha Dar es Salaam Television (DTV) na Channel 10.
Africa Media Group Limited (AMGL) iliyoanzishwa Oktoba, 1999, ni kampuni ya ubia kati ya DTV na Coastal Television Network (CTN). CTN ilikuwa chaneli ya kwanza kusajiliwa na Tume ya Utangazaji Tanzania tarehe 14 Februari, 1994.
AMGL inaendesha vituo vine vya TV, Channel Ten, DTV, CTN na C2C; na kuendesha vituo viwili vya redio: Magic FM na Classic FM.
Taarifa za umiliki wa AMGL si rahisi kupatikana, haikusajiliwa kama mtoa maudhui ya Intaneti katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Wasifu wa kampuni umeombwa kupitia utafiti wa kawaida katika Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ingawa mpaka sasa hakuna majibu yaliyotolewa.
Aina ya Biashara
Binafsi
Mfumo kisheria
Kampuni ya dhima yenye kikomo
Nyanja za Kibiashara
Africa Media Group Limited imesajiliwa TCRA kama mtangazaji kwa njia ya televisheni
Abji Shabbir Shamshudin
kwa mujibu wa wasifu wa kampuni, ni mwanaviwanda., Mtanzania, Tarehe ya kuzaliwa 15.01.1959. Hajioneshi
Shiraz Aziz Pira
kwa mujibu wa wasifu wa kampuni, ni mwanaviwanda. Uraia wake haufahamiki: Tarehe ya kuzaliwa 10.01.1946. Hajioneshi
Televisheni zingine
Channel Ten
DTV
Radio nyingine
Magic FM
Digitali nyingine
channelten.co.tz
Chombo cha habari cha kibiashara
Utangazaji kwa njia ya Redio
Africa Media Groupe Limited
Utangazaji kwa njia ya Televisheni
Africa Media Groupe Limited
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
Missing Data. African Media Group Ltd. was established in 1999
Mwanzilishi
Founders and Directors until 2017:
Mr. Ramesh Patel - Tanzanian, Businessman.
Mr. Mehmood Mawji - Tanzanian, Businessman.
Mr. Shabir Akber Dewji - Tanzanian, Businessman.
Mr. Francesco Saverio Tramontano - Italian, Businessman.
Mr. Girisj Tribhovandas Chande - Tanzanian, Businessman.
Waajiriwa
Taarifa zisizopatikana
Mawasiliano
Channel Ten Television;
P.O. Bo 19045, Dar-Es-Salaam;
Tel.: +255222116341/6
Fax: +255222113112;
E-Mail: channelten@amlg.c.tz;
Namba ya kutambulika
BRELA Incorporation N°40145
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Utawala
Bodi ya utendaji + Bodi Maslahi ya utendaji
Taarifa zisizopatikana
Bodi isiyo ya utendaji + Bodi maslahi isiyo ya utendaji
Taarifa zisizopatikana
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
Company profile available at BRELA. Registered at TCRA. No return of questionnaire.