Kiss FM
Kiss FM ni kituo cha utangazaji cha mikoa katika masafa ya FM na kilichoanzishwa mwaka 1998.
Ni miongoni mwa vituo 10 maarufu na hufikia hadhira kwa XX.XXX% kwa mujibu wa utafiti wa robo mwaka ya pili kuhusu hadhira ya vituo vya redio vinavyosikilizwa nchi nzima uliyofanywa na GeoPoll mwaka 2018.
Leseni ya Kiss FM ilisajiliwa kwa Sahara Media Group Limited (SMG) kwa 100% - kwa mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) SMG, iliyokuwa ikiitwa Sahara Communication and Publishing Company Limited, ilianzishwa mwaka 1992. Inaendesha vyombo vitatu vya habari vya Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM.
Data za umiliki wa SMG hazikuweza kupatikana katika Wakala ya Usajili wa Biashara na Utoaji wa Leseni (BRELLA). Kwa mujibu wa wasifu ulivyounganishwa kwenye mtandao, Mwenyekiti na Mtendaji mkuu wa SMG, alikuwa Waziri katika nyadhifa mbalimbali. Kwa mujibu ya dodoso lililotayarishwa na R & D Manager wa SMG; hakuna utafiti uliyofanywa kutathmini mapato ya matangazo kwa kila kituo cha FTA. Serikali inaipa kampuni hiyo habari na taarifa, hata hivyo haisaidii sana katika matangazo ya taifa.
Isa za hadhira
Aina ya umiliki
binafsi
Maeneo yanayofikiwa
Mkoani (Dar Es Salaam, Mwanza, Morogoro, Mbeya, Tanga)
Aina ya maudhui
Maudhui huru
Kampuni ya vyombo vya Habari
Sahara Media Group Limited
Muundo wa umiliki
Kiss FM inamilikiwa na Sahara Media Group Limited, iliyoanzishwa na kumilikiwa na Dr. Anthony Diallo.
Haki ya kuchagua
Taarifa zisizopatikana
Kampuni
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
1998
Mwanzilishi
Dr. Anthony M. Diallo - ni mwanasiasa na mwenyekiti wa chama wa mkoa wa Mwanza wa chama tawala cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Alikuwa mbunge (1995 - Okt 2010) na kupoteza ubunge kwa mgombea wa upinzani. Alikuwa na nyadhifa mbalimbali katika baraza la Mawa
Mtendaji Mkuu
Dr. Anthony Diallo - sangalia hapo juu
Mhariri Mkuu
Shalubano Abubakari - Meneja wa Vipindi
Mawasiliano
Kiss Fm
P. O. Box 1732, MWANZA
Tel: +255 282503262
E-mail: info@kissfmtz.com; info@saharamedia.co.tz
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Isa katika soko
Taarifa zisizopatikana
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
Kiwango cha hadhira kwa mujibu wa ripoti ya viwango vya GeoPoll ya Redio & TV (Aprili – Juni 2018).
Muhtasari wa vyombo vya habari
Research and Planning Manager, Sahara Media Group (September 2018). Media Ownership Monitor Questionnaire Sahara Media Group.