This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2022/08/10 at 07:29
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Dkt Wilbert B. Kapinga

Dkt Wilbert B. Kapinga

Kwa mujibu wa masjala ya Biashara, Dkt Wilbert Basillius Kapinga anamiliki 41% ya hisa kwenye Econet inayoendesha TV1.

Dkt Kapinga ni Wakili bingwa wa Sheria ya Kampuni, Sheria ya fedha, ubinafsishaji, mawasiliano ya simu, na sheria ya ushindani wa biashara, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 10 ya miamala ya miradi katika maeneo hayo.

Amekuwa mshauri mkubwa wa benki nyingi za nchini na kimataifa kuhusu mikopo, utoaji wa hatifungani na aina nyingine za dhamana. Ameshiriki sana katika masuala mengi ya usimamizi wa miradi ya petroli na umeme iliyojengwa kwa fedha binafsi.

Kampuni ya vyombo vya Habari
Aina za vyombo vya habari
Halisia

Biashara

Hakuna biashara nyingine inayofahamika

Familia & Marafiki

Maslahi jumuishi ya wanafamilia + Marafiki

hakuna taarifa zinazohusiana

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ