This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/09/15 at 07:08
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

World Family of Radio Maria Africa

World Family of Radio Maria Africa

Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka ya World Family of Radio Maria (2016), World Family of Radio Maria ONLUS ni chama kilichosajiliwa chenye ofisi via Rusticucci 13, 00193. Rome. Ofisi zake za uendeshaji wa shughuli zopo Via Mazzini 12, 21020 (Asciago (VA). Tangu mwanzoi wanachama wa World Family of Radio Maria ambayo hapa itajulikana kuwa, WFRM, ni vyama kutoka nchi nyingi wanaoshirikiano dhamira moja ya kuwahudumia watu kwa kuwapa vipindi vya redio ambavyo ambavyo ni chanzo cha ukuaji wa kiroho na kibinadamu. Vipindi vyao vinazingatia zaidi masuala ya kiroho kwa wakristo hasa wa madhehebu ya Katoliki.

WFRM ni shirika lisilo la Serikali (NGO) liloanzishwa kisheria mwaka 1998 na mwanachama wake mwasisi ni Italliana Association Radio Maria. Familia hivyo inayomiliki Radio Maria duniani kote, mpaka 2007 ilikuwa na wanachama washiriki arubaini wa kitaifa waliopo kwenye nchi mbalimbali kwenye mabara mbalimbali, wanachama walikuwa barani Afrika, Kituo cha kwanza cha utangazaji cha Radio Maria kilianzishwa mwaka 1983 kama kituo cha redio cha Parokia huko Arcellascod’Erba, jimbo la como katika Dayosisi ya Katoliki ya Milani.

Madhumuni ya kituo cha redio yalikuwa kutoa habari kwa wanaparokia na kuwasaidia katika sala kwa kutangaza misa na sala ya Rozari. Radio Maria iliendelea na mtindo huo mpaka January 1987, wakati Radio Maria Association ilipo anzishwa. Association ilikuwa na watu walioa au kuolewa, wasioolewa au kuooa, maburuda na watawa, makasisi na mapadre kwa lengo la kufanya kituo kuwa huru bila ya kuhusisha parokia na kutohusika na mpango mpana wa ulokole.

Kwa mujibu wa Ripoti ya mwaka WFRM (2016) hivi sasa, World Family inajukumu la kufuatilia vituo mbalimbali vya Redio katika mambo makuu manne ya msingi: Utengenezajiw a tahariri, usimamizi husishi na utawala, uhamasishaji na usambazaji. Zaidi ya hayo inashirikiana na mashirika mengine katika kutayarisha miradi na shughuli katika nchi zinazoendelea, kuboresha maisha ya watu wao.

Kwa kulinganishwa na vituo vingine vya redio vya dini, World Family imeanza kushirikiana na vyuo vikuu katika kuwasaidia kufundisha waandishi wa habari na wanafunzi wanapoenda mawasiliano kuwa mawakala wa mawasiliano kwa ajili ya amani. Kwa mfano, nchini Tanzania kazi ya Peace Journalism imekwishaanza na itapelekwa kwenye nchi nyingine zinazoendelea.

Wadau wakuu wa Word Family of Radio Maria ni Associations zenye madhumuni yale yale ya WORLD Familu na kufanyakazi nayo kutimiza dhamira yake. Kuna Associations, 79, ziliazosambaaa katika nchi 72, takriban 50 ziko kwenye nchi zinaendelea.

Kifedha na kiufundi, WFRM husaidia miradi ya awasiliano ya vyombo vya habari kwenye nchi zinazoendelea kwa kuhamasisha moyo wa kujitolea na na vipindi vya maendeleo kama njia ya ya kujitosheleza na maendeleo. Radio maria kama mradi wa Uinjilisti na Ulokole kupitia vyombo vya habarivya umma kwa kazi za kujitolea ambapo wanachama wake wwenye sifa mbalimbali wanajitolea katika uendeshaji wa kila siku wa vituo vya redio. Kutokana na hali yake ya kiroho, Radio Maria haitangazi aina yoyote ya matangazo ya biashara; fedha za uendeshaji zinazotokana kwenye michango ya wasikilizaji tu (Ng’atingwa, 2013).

Taarifa muhimu

Kampuni Mama

World Family Of Radio Maria

Aina ya Biashara

Binasi - Si ya biashara

Mfumo kisheria

Taarifa zisizopatikana

Nyanja za Kibiashara

Radio Maria TanzaniaTCRA kama Mtoa Huduma ya Maudhui Mtandaoni na mtangazaji kwa njia ya redio

Umiliki

World Family of Radio Africa

shirika lisilo la serikali (NGO) lililoanzishwa kisheria mwaka 1998 na Muasisi wa Italian Association of Radio Maria. Familia inayomiliki Redio Maria duniani kote. Inatangaza katika nchi 77 za mabara 5. 21 kati yao ziko barani Afrika na kuendeshwa na The World Family of Radio Maria Africa.

51%
Vyombo vya habari
Other Media Outlets

Radio nyingine

Radi Maria Tanzania

Digitali nyingine

radiomaria.co.tz

Halisia

Chombo cha habari cha kibiashara

Utangazaji kwa njia ya Redio

Radio Maria Tanzania

Huduma za Maudhui Mtandaoni

Radio Maria Tanzania

Biashara

World Family of Radio Maria Africa

Radio Maria Burkina Faso

World Family of Radio Maria America

Radio Maria Argentina

World Family of Radio Maria Europe

Radio Maria Albania

World Family of Radio Maria Asia

Radio Maria India

Maelezo yote

Mwaka wa kuanzishwa

1998

Mwanzilishi

Askofu Norbert Mtega / Jimbo la Uaskofu, Songea.

Waajiriwa

Taarifa zisizopatikana

Mawasiliano

Radio Maria

P. O. Box 34573, DAR ES SALAAM.

info.tan@radiomaria.org

Tel: +255 22 277 3837

Namba ya kutambulika

BRELA Incorporation N°44809

Taarifa za kifedha

Taarifa ya Kifedha

Taarifa zisizopatikana

Faida za uendeshaji

Taarifa zisizopatikana

Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)

Taarifa zisizopatikana

Utawala

Bodi ya utendaji + Bodi Maslahi ya utendaji

Taarifa zisizopatikana

Bodi isiyo ya utendaji + Bodi maslahi isiyo ya utendaji

Taarifa zisizopatikana

Bodi ya usimamizi + Bodi Maslahi ya usimamizi

Taarifa zisizopatikana

Watu muhimu wenye ushawishi + watu maslahi wengine muhimu

Taarifa zisizopatikana

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ