This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/12/09 at 09:17
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

The Guardian

The Guardiari ni gazeti la kila siku la kiingereza la the Guardini Limited lililoanza kuchapishwa, 1 Januari mwaka 1995 (ingawa lilisajiliwa 3 Mei, 1993). Wakati The Guardian Limited ilipoanzishwa, ilileta ushindani kwa magazeti ambayo tayari yalikuwa kwenye soko la magazeti. Agosti 1996, wakati huo likihaririwa na Wallace Manggo lilitoka nakala 10,000 jijini Dar es Salaam.

Hivi sasa kwa mujibu wa utafiti wa matumizi ya vyombo vya habari wa Geopoll ( Agosti 30 – 1 Sept 2018) umeonesha kuwa liko kwenye kumi bora ya magazeti maarufu kwa kiwango kidogo sana, na kuilenga habari (chini ya XX.XXX% ya wasomaji). Kwa mujibu wa uchapishaji wake, hivi sasa huchapishwa nakala 15,000 kwa siku kwa nchi nzima na nakala moja husomwa na kati ya wabomaji 2 hadi 6.

Utafiti wa majaribio kuhusu ubora wa vyombo vya habari uliyofadhiliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) umeonesha kuwa miongoni mwa magazeti, the Guardian inaongoza kuhusu muundo wa habari uliofikiriwa kwa makini. Kila baada ya habari ya pili ina wazo linaloeleweka vizuri na humuongoza msomaji kwenye habari kutoka mwanzo hadi mwisho. Kama ilivyo kwenye magazeti mengi, The Guardian nalo huonesha chanzo chake kwa uwazi zaidi.

Kwa sasa the Guardian huchapisha magazeti mawili kila siku, The Guardian na Nipashe na magazeti manne ya kila wiki. The Guardian on Sunday na Nipashe Jumapili ni matoleo ya Jumapili wakati, Taifa letu ilitoka Ijumaa na Sema Usikike siku za Jumatatu. The Guardian Limited ni sehemu ya IPP Group Limited.

IPP Group Limited ni kampuni ya utengenezaji utiaji vinywaji kwenye chupa na kundi la vyombo vya habari inayojumuisha vituo vya televisheni na redio na magazeti wasifu wa kampuni uliyoombwa kwa wakati ya usajili wa biashara na utoaji wa leseni (BRELA) inaonesha kuwa Dkt Reginald Abrahamu Mengi ni mwanahisa wa IPP Group Limited pamoja na Agapitus Leon Nguma.

Mengi alizaliwa Tanzania mwak 1944 yeye ni mfadhili wa kitanzania mwanaviwanda mmiliki wa vyombo vya habari na mwasisi na mwenyekiti mtendaji wa IPP Group. mengi pia ni mwenyekiti mtendaji wa IPP Group. Mengi pia ni makamu wa Rais wa bodi ya taifa ya wahasibu wa wakaguzi (NBAA) Tanzania. Katika taarifa za FORBES, amekuwa miongoni mwa matajiri wa Afrika mwenye zaidi ya $400 milioni kwa takwimu za 2015.

IPP Group Limited ni kampuni ya utengenezaji, utiaji vinywaji kwenye chupa na kundi la vyombo vya habari inayojumuisha vituo vya Televisheni, redio na magazeti. Wasifu wa kampuni uliyoombwa kwa Wakala wa Usajili wa Biashara na Utoaji wa Leseni (BRELA) unaonyesha kuwa Dkt Reginald Abraham Mengi na Agaptus Leon Nguma ni wanahisa wa IPP Group Limited.

Mengi alizaliwa Tanzania mwaka 1944, yeye ni mfadhili wa Kitanzania, mwana viwanda, mmiliki wa vyombo vya habari na mwasisi na mwenyekiti Mtendaji wa IPP Group. Mengi pia ni Makamu wa Rais wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) Tanzania. Katika taarifa ya FORBES, amekuwa ni miongoni mwa matajiri wa Afrika mwenye zaidi ya $400 Millioni kwa takwimu za 2015.

Taarifa muhimu

Isa za hadhira

Aina ya umiliki

binafsi

Maeneo yanayofikiwa

National (mainland)

Aina ya maudhui

maudhui yaliyolipiwa

Taarifa zinazopatikana kiurahisi

Upatikanaji wa taarifa za umiliki kutoka kwa vyanzo vingine, kwa mfano vile vinavyotambulikana kisheria

2 ♥

Kampuni ya vyombo vya Habari

IPP Media Limited

Umiliki

Muundo wa umiliki

NIPASHE inaendeshwa chini ya kampuni mama ya The Guardian ambayo ni sehemu ya IPP Group Limited. IPP inamilikiwa na Dr. Reginald Mengi.

Haki ya kuchagua

Taarifa zisizopatikana

Kundi / Mmiliki Binafsi

Taarifa zisizopatikana

Taarifa zisizopatikana

?
Kampuni ya vyombo vya Habari
Halisia

Maelezo yote

Mwaka wa kuanzishwa

Jan. 1st 1995

Mwanzilishi

Dr. Reginald Mengi - ni mwanaviwanda wa Tanzania, mmiliki wa vyombo vya habari na muasisi, pia ni Mwenyekiti mtendaji wa IPP Group. Pia ni Makamu wa Rais wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania. Katika taarifa za FORBES, Mengi ni miongoni mwa mt

Mtendaji Mkuu

Kwa sasa hakuna Ofisa Mtendaji Mkuu,. Meneja Mkuu ni Srinivas Chintaruli.

Mhariri Mkuu

Wallace Mauggo - mwandishi wa habari mkongwe. Alijiunga na Maelezo mwaka1973. Baada ya wadhifa huu alihamishiwa Tanzania School of Journalism. Baadaye alijiunga na IPP media. Lusekelo Philemon - Mhariri wa Habari.

Watu wengine muhimu

Emmanuel Lyimo - Meneja Usambazaji.

Mawasiliano

The Guardian Ltd

P.O.Box 31042; Dar es salaam

Tel.: +255222700735/7

Fax:+255222700146

E-Mail:info@guardian.co.tz

www.guardian.co.tz

Taarifa za kifedha

Taarifa ya Kifedha

Taarifa zisizopatikana

Faida za uendeshaji

Taarifa zisizopatikana

Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)

Taarifa zisizopatikana

Isa katika soko

Taarifa zisizopatikana

Maelezo ya ziada

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ