Muungwana Blog
Muungwana Blog ni jukwaa/blog ya mtandao inayosambaza habari za matukio na habari za hivi karibuni nchini Tanzania. Inashughulikia habari za siasa, afya na kilimo, uhusiano, teknolojia, urembo na michezo kwa umma na kwa Kiswahili. Blog hii pia inashughulika na matangazo na masoko ya shughuli za utalii.
Kampuni hii imesajiliwa rasmi kwa Sheria za Tanzania. Inamilikiwa na Rashid Malik Said kwa 100% na kuongozwa na Mkurugenzi mmoja ambaye pia ni mmiliki wa hisa na kuendesha shughuli zake kutoka Dar es Salaam (TCRA, 2018).
Kwa mujibu wa utafiti wa GeoPoll (2018), Muungwana Blog ni miongoni mwa blog na tovuti maarufu za habari. Hadi Mei 1, 2018 Muungwana Blog imetimiza miaka mitatu tangu kuanzishwa kwake.
Isa za hadhira
Aina ya umiliki
Binafsi
Maeneo yanayofikiwa
Kimataifa
Aina ya maudhui
Maudhui huru
Kampuni ya vyombo vya Habari
Muungwana Blog
Muundo wa umiliki
Muungwana Blog ni Mtoa Taarifa Mtandaoni iliyosajiliwa TCRA , mmiliki wa hisa pekee ni Rashid Malik Said ambaye hajioneshi.
Haki ya kuchagua
Taarifa zisizopatikana
Mmiliki Binafsi
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
2015
Mwanzilishi
Rashid Malik Said - ni muendesha blogi pia ni Muasisi, Mkurugenzi na Mwanahisa wa blogi ya Mungwana, inayoendesha shughuli zake jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu
Rashid Malik Said - angalia hapo juu
Mhariri Mkuu
Hakuna taarifa kuhusu chumba cha habari
Mawasiliano
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Isa katika soko
Taarifa zisizopatikana
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
Idadi ya hadhira kwa mujibu wa utafiti wa GeoPoll (Aug 30 – Sep 1st, 2018), uliyodhaminiwa na MOM Tanzania. Mitandao ya kijamii, tovuti za kutafuta habari, na tovuti za matangazo hazikuingizwa kwenye uchambuzi wa umiliki.