Mpekuzi Huru
Mpekuzi Huru ni tovuti ya Tanzania inayohusika na utoaji huduma kwa njia ya mtandao hasa Habari za Burudani, Habari za Siasa, Umbeya wa Watu Mashuhuri na Taarifa Mbashara za Hivi Karibuni. Tovuti yake ya facebook ilianzishwa mwaka 2009. Inatoa matukio ya habari ya kila siku kwa taarifa za habari na habari zaidi kuhusu watu mashuhuri nchini Tanzania. Pia ni jukwaa la mtandao kwa ajili ya matangazo.
Kwa mujibu wa utafiti wa matumizi ya vyombo vya habari wa GeoPoll (Agosti 30 – Sept 1, 2018, 2018) Mpekuzi Huru inasomwa na XX.XXX% ya hadhira ya Tanzania.
Mpekuzi Huru imepewa leseni na Mpekuaji Media, ambayo kwa mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inamilikiwa na John Bernard Mahega kwa hisa za 70% wakati Hellen Elibariki Mcharo ana hisa za 10%.
Kwa mujibu wa wasifu wake katika Linkedin, Mahega pia ni Mkurugenzi Mtendaji.
Isa za hadhira
Aina ya umiliki
Binafsi
Maeneo yanayofikiwa
Kimataifa
Aina ya maudhui
Maudhui huru
Kampuni ya vyombo vya Habari
Mpekuaji Media
Muundo wa umiliki
Mpekuaji Media Mtoa Taarifa Mtandaoni iliyosajiliwa TCRA. Mahega na Mcharo wameorodheshwa kama wamiliki wa hisa, hata hivyo hazifikii 100%. Hakuna taarifa zaidi kuhusu wamiliki wengine wa hisa . Data ziliombwa BRELA lakini hazikupatikana
Haki ya kuchagua
Taarifa zisizopatikana
Mmiliki Binafsi
Kundi / Mmiliki Binafsi
Hellen Elibariki Mcharo
Hajioneshi. Hakuna taarifa zinazomhusu
further shareholder(s) not listed
Missing Data
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
2009
Mwanzilishi
John Benard Mahega – hajioneshi sana kwa umma. Wasifu wake katika mtandao wa linkedin hauna taarifa za kutosha. Hata hivyo alianza kufanyakazi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Mpekuzi mwaka 2012.
Mtendaji Mkuu
John Bernard Mahega - angalia hapo juu
Mhariri Mkuu
Hakuna taarifa kuhusu chumba cha habari
Mawasiliano
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Isa katika soko
Taarifa zisizopatikana
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
Idadi ya hadhira kwa mujibu wa utafiti wa GeoPoll (Aug 30 – Sep 1st, 2018), uliyodhaminiwa na MOM Tanzania. Mitandao ya kijamii, tovuti za kutafuta habari, na tovuti za matangazo hazikuingizwa kwenye uchambuzi wa umiliki.