This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/03/28 at 16:27
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Rostam Aziz

Rostam Aziz

Rostam Aziz kwa ubia na Balozi Ferdnand Kamuntu Ruhinda Walianzisha Kampuni Ya Mwananchi Commucation Company Limited, Mei 1999 Rostam na Ruhinda hatimaye waliungana na Nation Media Group ya Kenya (NMG) inayomilikiwa na it is Highness the Aga Khan na kuanzisha gazeti la Kiingereza la Citizen.

Hata hivyo, baadaye hawakukubaliana na uandikaji wa NMG kuhusu kampeni ya uchaguzi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa tiketi ya CCM. Rostam alikuwa menheja wa kampeni wa Jakaya Kikwete aliyeshinda uchaguzi na kuwa Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rostam na Kikwete ni marafiki wa karibu.

Baada ya kutokubaliana, Rostam alianza sehemu kubwa ya hisa zake za Mwananchi Communications Limited na kununua hisa walizokuwa nazo waandishi wa habari wengi maarufu akiwamo Jenerali ulimwengu Salva Rweyemenu na DKT Gideon Shoo, katika habari Corporation Limited mwaka 2006. Hatimaye, Rostom alibadilisha jina kampuni, New Habari Corporation (2006) Limited.

Rostom Aziz pia ni mwanasiasa na mfanyabiashara. Alipokuwa na umri wa miaka 26, alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Igunga, mMkoa wa Tabora. Aliwakilisha Jimbo la Igunga kuanzia mwaka 1994 mpaka alipojiuzulu mwaka 2011. Alijiuzulu kwa kile alichokiita “ Siasa chafu” nadani ya cham tgawala chama cha mapinduzi (CCM). Baadhi ya miradi muhimu aliyoianzisha ni baina ya afya ya jamii Afrika Mashariki ambapo kila nyumba/kaya kwenye jimbo lake la uchaguzi alipewa baina ya afya . Pia alifanikiwa kumpatia maji kila mkazi wa jimbo lake na kufanya jimbo la Igunga kuwa Wilay ya kwanza Nchini kuwa na zahanati kwa kila kijiji na umeme kwa kila kata. Alikuwa mweka hazina wa Taifa wa CCM kuanzia 2005 hadi 007 na wa kamati kuu kuanzia 2000 hadi 2011 alipojiuzulu nyadhifa zote alizokuwanazo CCM.

Rostom alianzia kwenye biashara ya familia yake halafu akajitenga na kuanzisha biashara yake. Familia yake ni miongoni mwa familia tajiri zaidi Afrika Mashariki. Uwekezaji wake unaanzia kwenye mawasilian ya simu, kilimo, vyombo vya habari, madini nyenzo za bandari. Kampuni ya AZIZ Group inajumuisha, pamoja na mambo mengine, Caspion Limited, Kampuni ya uchimbaji madini kimkataba kubwa zaidi nchini Tanzania, mkandarasi wa madini kwa Debeers, barrack Gold na nyinginezo, Wembere Huting Safaris Limited, African Tanzania Limited na Tanzania Leather Industries Limited mwezi Juni 2018, magazed yalitangaza kuhusu Aziz kuuza hisa zake zilizoaki katika Vodacom Tanzania, kampuni kubwa sana ya simu za mkononi nchini Tanzania, kwa Vodacom Group ya South Africa. Mwaka 2014, alikwisha uza 17.2% ya Vodacom Tanzania kwa Vodacom Group of South Africa (us $ 250 milioni). Wakati huo, Rostom alibakish hisa zake Calvory, kampuni binafsi ya mwekezaji aliyosajiliwa kisiwa cha Jersey.

Kampuni ya vyombo vya Habari
Aina za vyombo vya habari
Halisia

Biashara

Investment

Mirambo Holding, Aziz family’s investment vehicle

Mining

Caspian Mining, contractor to DeBeers, barrick Gold and others

Real Estate

Tourism

Wembere Hunting Safaris Limited
Tourism

http://African Tanzania Limited

Manufacturing

Tanzania Leather Industries Limited

Port of Dar es Salaam

in partnership with Hutchison Wampoa

Political Office

1994 -2011: represented the Igunga constituency in Tabora Region.
Political Office

Familia & Marafiki

Maslahi jumuishi ya wanafamilia + Marafiki

Familia ya Aziz

Aziz ni kizazi cha tano cha familia ya Mtanzania yenye asili ya Wabaluchi wa Irani wa ukoo wa sagari. Wameishi Tanganyika baada ya kuhama kutoka Zanzibar tangu 1850. Familia hii ilianza kulima mkonge, mpunga na miwa

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ