This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/07/18 at 16:34
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Channel Ten

Channel Ten nintelevisheni ya biashara kitaifa inayotangaza kutoka Dar es Salaam. Ni miongoni mwa chanel tatu zinazomilikiwa na Africa Media Group Limited.

Channel Ten inapatikana barani Afrika kote na nje ya hapo kupitia satelaiti. Chaneli hii inapatikana kwenye miji mikuu yote Tanzania kwa kutumia cable network na digital terrestrial transmission. Inapatikana pia kwenye DSTV chaneli namba 292.

Inatangaza vipindi mbalimbali vikiwemo habari za nchini na za kimataifa, biashara, teknolojia, michezo, habari za burudani na vipindi vya mazungumzo. Kituo hiki ni nafasi ya 10 kwa hadhira ya XX.XXX% , kwa mujibu wa utafiti war obo mwaka ya pili ya GeoPoll mwaka 2018.

Taarifa muhimu

Isa za hadhira

Aina ya umiliki

Binafsi

Maeneo yanayofikiwa

Taifa

Aina ya maudhui

Free to Air

Taarifa zinazopatikana kiurahisi

Upatikanaji wa taarifa za umiliki kutoka kwa vyanzo vingine, kwa mfano vile vinavyotambulikana kisheria

2 ♥

Kampuni ya vyombo vya Habari

Africa Media Group Limited

Umiliki

Muundo wa umiliki

Channel Ten iinaendeshwa na African Media Group Limited..

Haki ya kuchagua

Taarifa zisizopatikana

Kundi / Mmiliki Binafsi

Abji Shabbir Shamshudin

kwa mujibu wa wasifu wa kampuni, ni mwanaviwanda., Mtanzania, Tarehe ya kuzaliwa 15.01.1959. Hajioneshi

?
Kampuni ya vyombo vya Habari
Halisia

Maelezo yote

Mwaka wa kuanzishwa

Missing Data. African Media Group Ltd. was established in 1999

Mwanzilishi

Waasisi na wakurugenzi mpaka 2017: Mr. Ramesh Patel - Mfanyabiashara Mtanzania. Mr. Mehmood Mawji - Mfanyabiashara Mtanzania. Mr. Shabir Akber Dewji - Mfanyabiashara Mtanzania. Mr. Francesco Saverio Tramontano - Mfanyabiashara Mwitaliano. Mr. Gir

Mtendaji Mkuu

Abji Shabbir Shamshudin - Mwanaviwanda, Mtaanzania, Tarehe ya kuzaliwa 15.01.1959 # Shiraz Aziz Pira - Mwanaviwanda, Uraia wake haufahamiiki, Tarehe ya kuzaliwa 10.01.1946.

Mhariri Mkuu

Taarifa zisizopatikana

Mawasiliano

Channel Ten Television

P.O. Bo 19045, Dar-Es-Salaam

Tel.: +255222116341/6

Fax: +255222113112

E-Mail: channelten@amlg.c.tz

www.chten.tz

Taarifa za kifedha

Taarifa ya Kifedha

Taarifa zisizopatikana

Faida za uendeshaji

Taarifa zisizopatikana

Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)

Taarifa zisizopatikana

Isa katika soko

Taarifa zisizopatikana

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ