Tanzanian Standard Newspaper

Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN) ni shirika la umma lililoanzishwa tarehe 0 Februruari, 1970, chini ya Sheria ya Mashirika ya Umma, 1961. Hivi sasa TSN ni kampuni ya binafsi ya dhima yenye kikomo (LTD) inayomilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye 99% ya hisa na Mhariri Mtendaji, ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa masuuli (1% ya hisa).
Historia ya Tanzania Standard Newspapers Ltd imwanzia 1 Januari, 1930 wakati kampuni ya Kenya, East Africa Consolidated Holdings ilipoanzisha Tanganyika Standard Newspapers Ltd. Hata hivyo, baadaye kampuni ya biashara ya Uingereza, London-Rhodesia (LONRHO) ilinunua hisa nyingi Tanganyika Standard Newspapers Ltd mwaka 1961. Badala yake, iliunda kampuni mbili tofauti za Tanganyika Standard Newspapers Limited (TSN) na Printpack Tanganyika Limited (TPL). TSN ilichapisha Tanganyika Standard na Sunday News wakati Printpack iliyachapa. Mwaka 2006, TSN ilinunua mashine zake za uchapishaji.
Terehe 5 Februari, 1970, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitaifisha Tanganyika Standard Newspaper na kuanzisha Tanzania Standard Newspapers Limited, shirika la umma linalomilikiwa na serikali.
TSN inamiliki na kuchapisha magazeti ya kila siku ya kurasa pana ya Daily News na toleo la Jumapili la Sunday News, Habari Leo la kiswahili ambalo ni dogo lilianzishwa mwaka 2006 na Spotileo, gazeti la michezo lililoanzishwa mwaka 2011. Aidha, inamiliki na kuchapisha magazeti matano. Katika kila wizara ya serikali, idara, mamlaka ya usimamizi na shirika, ni lazima wanunue na kusoma magazeti ya Daily News na Habari Leo.
Hivi karibuni, TSN imepanua biashara yake na kujumjuisha matangazo kwa njia ya mtandao, utayarishaji wa makala za televisheni, ushauri, ubia, mikutano ya biashara, upigaji wa picha za biashara na mafunzo. Mipango inaendelea kuanzisha shirika la habari.
Aina ya Biashara
Umma
Mfumo kisheria
Shirika la Umma
Nyanja za Kibiashara
Uchapishaji
Mmiliki Binafsi
ina shauku ya umiliki wa vyombo vya habari tangu Mei, 1961 wakati Tanzania Bara ilipopata Madaraka na kutayarisha utaratibu wa utawala tayari kwa uhuru. Inaendesha TSN pia chombo cha utangazaji cha umma cha TBC

Managing Editor
ni mhariri mtendaji, anateuliwa na serikali.
Magazeti mengine
Daily News
Habari Leo
Sporti Leo
Daily News East Africa Edition
Habari Leo Afrika Mashariki
Sunday News
Digitali nyingine
registered as a Online Content Service at TCRA.
Chombo cha habari cha kibiashara
Uchapishaji Kibiashara
TSN inaendesha viwanda vichache vya uchapishaji magazeti nchini
Biashara
hakuna
none
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
April 1972
Mwanzilishi
Government - nationalized the formerly privately owned Tanzania Standard.
Waajiriwa
Taarifa zisizopatikana
Mawasiliano
Tanzania Standard(Newspapers) Ltd
Daily News Building
Plot No. 11/4 Nelson Mandela Expressway
P.o.Box 9033
Phone: 073-2 923559
Email: info@tsn.go.tz
Namba ya kutambulika
BRELA incorporation n°: 2648
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Utawala
Bodi ya utendaji + Bodi Maslahi ya utendaji
TSN Managing Editor
was elected by the TSN Board of Directors as the company's Actring Managing Editor in August, 2018. She has been with TSN for more than 23 years and served in senior editorial positions including Editor, News Editor, Assistant Editor, Features Editor, Sub- Editor, Chief Reporter and Bureau Chief..
Bodi isiyo ya utendaji + Bodi maslahi isiyo ya utendaji
TSN Board of Directors Chairman
EWURA
Ministry of Lands
Judiciary
TPA
TRA
Director of Information Services and Government Spokesperson
TSN Managing Editor
Watu muhimu wenye ushawishi + watu maslahi wengine muhimu
appoints the managing editor and the chairman of the board.
appoints the other board members.
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
Company registered at BRELA, profile requested, still pending. Questionnaires were returned.
Vyanzo
Ag Managing Editor, Tanzanian Standard Newspapers Limited (October 2018). Media Ownership Monitor Questionnaire Tanzanian Standard Newspapers Limited.
Ag Editor, Habari Leo (September 2018). Interview.
Hadji Konde (1984). Press Freedom in Tanzania. East Africa Publishing House.