Muungwana Blog
Muungwana Blog ni kampuni ya iliyosajiliwa rasmi kwa sheria za Tanzania. Inamilikiwa na Rashid Malik Saidi kwa 100%. Said pia ni mkurugenzi na anaendesha shughuli kutoka Dar es salaam (TCRA, 2018).
Muungwana Blog ni kampuni inayomiliki blog inayosambaza habari za matukio na habari za Tanzania. Inashughulikia habari za siasa, afya, na kilimo, uhusiano, teknolojia, urembo na michezo kwa umma kwa Kiswahili. Blog hii pia inashughulika na matangazo na masoko ya shughuli za utalii.
Kwa mujibu wa utafiti wa hadhira wa GeoPOll (2018), Muungwana Blog ni ya 13 na hadhira ya XX.XXX% miongoni mwa blog/tovuti 39 nchini Tanzania. Hadi 1 Mei, 2018, Muungwana blog ilikuwa na miaka mitatu tangu kuanzishwa kwake.
Aina ya Biashara
Binafsi
Mfumo kisheria
Taarifa zisizopatikana
Nyanja za Kibiashara
Muungwana Blog imesajiliwa TCRA kama mtoa huduma ya maudhui mtandaoni.
Mmiliki Binafsi
ini muendesha blogi pia ni Muasisi, Mkurugenzi na Mwanahisa wa blogi ya Mungwana, inayoendesha shughuli zake jijini Dar es Salaam.
Digitali nyingine
muungwana.co.tz
Chombo cha habari cha kibiashara
Huduma za Maudhui Mtandaoni
Muugwana Blog
Biashara
Ni biashara ya vyombo vya habari tu
Hakuna
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
2015
Mwanzilishi
Rashid Malik Said - ni muendesha blogi pia ni Muasisi, Mkurugenzi na Mwanahisa wa blogi ya Mungwana, inayoendesha shughuli zake jijini Dar es Salaam.
Waajiriwa
Taarifa zisizopatikana
Mawasiliano
Namba ya kutambulika
Missing Data
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
mesajiliwa TCRA. Madodoso hayakurudishwa. Haikusajiliwa BRELA.