This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2022/07/07 at 01:06
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Mpekuaji Media

Mpekuaji Media inaendesha tovuti maarufu za Mpekuzi Huru nchini Tanzania, inashughulika na huduma mtandaoni hasa Habari za Burudani, Habari za Siasa, Umbeya wa watu mashuhuri na Taarifa Mbashara za hivi karibuni. Ukurasa wake wa facebook ulianzishwa mwaka 2009.

Kwa mujibu wa utafiti wa matumizi ya vyombo vya habari wa GeoPoll (Agosti 30 – Sept 1, 2018), Mpekuzi Huru inasomwa na XX.XXX% ya hadhira ya Tanzania.

Kulingana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA), Mpekuaji Media inamilikiwa na John Bernard Mahega kwa 70% na Hellen Elibariki Mcharo ana 10% ya hisa

Kwa mujibu wa wasifu wa Linkrdin, Mahega ni Mkurugenzi Mtendaji.

Taarifa muhimu

Aina ya Biashara

Binafsi

Mfumo kisheria

Taarifa zisizopatikana

Nyanja za Kibiashara

Mpekuaji Media imesajiliwa TCRA kama mtoa huduma ya maudhui mtandaoni.

Umiliki

Mmiliki Binafsi

John B. Mahega

hajioneshi sana kwa umma. Wasifu wake katika mtandao wa linkedin hauna taarifa za kutosha. Hata hivyo alianza kufanyakazi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Mpekuzi mwaka 2012.

70%

Hellen Elibariki Mcharo

10%
Vyombo vya habari
Other Media Outlets

Digitali nyingine

mpekuzihuru.com

Halisia

Chombo cha habari cha kibiashara

Mitandao ya Kijamii/ Blogi

Mpekuzi Huru Blog

Biashara

Ni biashara ya vyombo vya habari tu

Hakuna

Maelezo yote

Mwaka wa kuanzishwa

2009

Mwanzilishi

John Benard Mahega – hajioneshi sana kwa umma. Wasifu wake katika mtandao wa linkedin hauna taarifa za kutosha. Hata hivyo alianza kufanyakazi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Mpekuzi mwaka 2012.

Waajiriwa

Taarifa zisizopatikana

Mawasiliano

P. O. Box 10093

MWANZA

Tel: +255682985471

mpekuzigroup@gmail.com

Namba ya kutambulika

BRELA Incorporation N°443497

Taarifa za kifedha

Taarifa ya Kifedha

Taarifa zisizopatikana

Faida za uendeshaji

Taarifa zisizopatikana

Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)

Taarifa zisizopatikana

Utawala

Bodi ya utendaji + Bodi Maslahi ya utendaji

Taarifa zisizopatikana

Bodi isiyo ya utendaji + Bodi maslahi isiyo ya utendaji

Taarifa zisizopatikana

Bodi ya usimamizi + Bodi Maslahi ya usimamizi

Taarifa zisizopatikana

Watu muhimu wenye ushawishi + watu maslahi wengine muhimu

Taarifa zisizopatikana

Maelezo ya ziada

Taarifa zinazopatikana kiurahisi

Upatikanaji wa taarifa za umiliki kutoka kwa vyanzo vingine, kwa mfano vile vinavyotambulikana kisheria

2 ♥

Taarifa ya ziada

Imesajiliwa TCRA. Madodoso hayakurudishwa. Haikusajiliwa BRELA.

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ