E-FM Company Limited

E-FM Company Limited ni kampuni binafsi inayomiliki kituo cha TV (TVE) na kituo cha Redio (E-FM Redio). Ilianzishwa mwaka 2014. Makao yake makuu ni Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinaonesha kuwa E-FM Company Limited imeanzishwa na kumilikiwa na ndugu watatu ambapo Francis Antony Ciza anamiliki 40% ya hisa, Jean Claude Ciza 40% ya hisa na Justine Antoine Ciza anamiliki 20%.
Licha ya kuwa miongoni mwa wanahisa na Mtendaji Mkuu wa E-FM Company Limited, Francis Antony Ciza pia anamiliki zaidi ya Night Club noja zilizo katika mikoa mbalimbali nchini. Pia aliwahi kuwa DJ (DJ Majizzo) wa Magic FM radio.
Mwaka 2017, Francis Antony Ciza alikamatwa na polisi kuhusiana na makosa ya dawa za kulevya (heroin), hata hivyo aliachiwa kwa kukosa ushahidi.
Aina ya Biashara
Binafsi
Mfumo kisheria
Kampuni ya dhima yenye kikomo
Nyanja za Kibiashara
E-FM Company Limited imesajiliwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Wakala ya Usajili wa Bishara na Leseni (BRELA) na kusajiliwa TCRA kama mtangazaji wa televisheni na redio pamoja na huduma ya maudhui mtandaoni
Mmiliki Binafsi
Francis Antony Ciza - anamiliki zaidi ya Night Club Moja kwenye mikoa ya mbalimbali nchini, pia alikuwa DJ wa Magic FM radio

Televisheni zingine
TV E
Radio nyingine
E-FM
Digitali nyingine
efm.co.tz
Chombo cha habari cha kibiashara
Utangazaji kwa nia ya Redio
E-FM Company Limited
Utangazaji kwa nja ya Televisheni
E-FM Company Limited
Huduma za Maudhui Mtandaoni
E-FM Company Limited
Biashara
hakuna
none
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
Start: April 2014 on a trial basis
Mwanzilishi
Justina Antoine Ciza.
Francis Antony Ciza - owns more than one night club located in various regions in the country and he is a former DJ at Magic FM radio .
Jean Claude Ciza.
Waajiriwa
Taarifa zisizopatikana
Mawasiliano
Namba ya kutambulika
BRELA Incorporation N°99220
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Utawala
Bodi ya utendaji + Bodi Maslahi ya utendaji
Taarifa zisizopatikana
Bodi isiyo ya utendaji + Bodi maslahi isiyo ya utendaji
Taarifa zisizopatikana
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
Company profile available at BRELA. Registered at TCRA. No return of questionnaire.