AYO TV TZA Company Limited
Ayo TV TZA Company Limited ni kampuni ya vyombo vya habari kwa njia ya mtandao wa dijiti nchini Tanzania iliyoanzishwa na kumilikiwa na Millard Alfred Ayo (anamiliki hisa 900) na Ivan Ayo (anamiliki hisa 100). Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania – TCRA, AYO TV TZA Company Limited imepewa Online Content Services Licence. Nakao makuu nyake yako Dar es Salaam, Tanzania.
Ayo TV TZA Company Limited ina tovuti ya TV mtandaoni: MillardAyo.com andAYOTV. Maudhui yanayorushwa kwenye vyombo hivi vya habari vya mtandao na blog ni habari kwa jumla zinazohusiana na burudani, michezo, afya na siasa. Pia Millard Ayonewscan inapatikana kwenye Youtube, GooglePlay & AppleStore, FaceBook, Twitter @millardayo na Instagram yenye wasomaji 3.9milioni.
Licha ya kumiliki vyombo vya habari vya mtandao na blog, Millard Ayo bado anaendelea kufanyakazi Clouds Media kama mtangazaji wa redio wa kipindi cha “Count down” kinachorushwa kila siku kuanzia saa 1 usiku.
Millard Ayo alizaliwa 16 Januari, 1986 nchini Tanzania. Amefanyakazi kama mtaalamu wa vyombo vya habari kabla ya kuanzisha blog yake iliyopata tunzo.
Wasifu wa kampuni katika Wakala ya Usajili wa Biashara na Utoaji Leseni (BRELA) iliyoombwa 14 Septemba, 2018 inaonesha kuwa kampuni hii ya vyombo vya habari haijajaza mapato ya mwaka BRELA kwa miaka 2016,2017 na 2018. Kutofanya hivyo kunakiuka Kifungu cha 128(1) na 132(1) cha Tanzania Companies Act 2002 (Cap.RE 212)
Aina ya Biashara
Binafsi
Mfumo kisheria
Kampuni ya dhima yenye kikomo
Nyanja za Kibiashara
AYO TV TZA Company Limited is a registered Online Content Service at TCRA. It is also is registered at The United Republic of Tanzania Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) to operate in online media.
Mmiliki Binafsi
alizaliwa tarehe 16 Januari, 1986 nchini Tanzania. Alianza kufanyakazi kama mtaalamu wa vyombo vya habari na kuanzisha kwa ubia blogi yake iliyojipatia tuzo. Bado anaendelea kufanyakazi na Clouds Media kama mtangazaji.
Ivan Ayo
je ana uhusiano gani na Ayo?
Digitali nyingine
millardayo.com
youtube.com/user/millardayothetza/
Chombo cha habari cha kibiashara
Huduma za Maudhui Mtandaoni
AYO TV TZA Company Limited
Biashara
Ni biashara ya vyombo vya habari tu
Hakuna
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
2012
Mwanzilishi
Millard Afrael Ayo - alizaliwa tarehe 16 Januari, 1986 nchini Tanzania. Alianza kufanyakazi kama mtaalamu wa vyombo vya habari na kuanzisha kwa ubia blogi yake iliyojipatia tuzo. Bado anaendelea kufanyakazi na Clouds Media kama mtangazaji.
Waajiriwa
more then 13
Mawasiliano
AYO TV TZA Company Limited
P. O. Box 3842
DAR ES SALAAM
Tel: +255655141619
Namba ya kutambulika
BRELA Incorporation N°118775
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Utawala
Bodi ya utendaji + Bodi Maslahi ya utendaji
Director and Owner. See more information on his profile.
Director and minority shareholder. Brother to Millard.
Bodi isiyo ya utendaji + Bodi maslahi isiyo ya utendaji
Taarifa zisizopatikana
Bodi ya usimamizi + Bodi Maslahi ya usimamizi
Taarifa zisizopatikana
Watu muhimu wenye ushawishi + watu maslahi wengine muhimu
Taarifa zisizopatikana
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
Company profile available at BRELA and TCRA. Questionnaires returned with scarce information.
Interview with representatives oft he Millardayo office