This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2022/08/10 at 06:33
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Rashid M. Said

Rashid Malik Saidi ni mwendesha blog na mmiliki wa Muungwana Blog iliyosajiliwa na kupewa leseni na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Rashid Malik Saidi na mwanzilishi, Mkurugenzi na Mwanahisa, akiendesha shughuli zake Dar es salaam.

Anamiliki Muungwana blog kwa 100% na amekuwa akiendesha kwa kuchapisha na kusambaza habari za matukio na habari za Tanzania. Habari za siasa,afya na kilimo; uhusiano teknolojia, urembo na michezo kwa umma kwa Kiswahili. Blog hii pia inashughulika na matangazo na masoko ya shughuli za utalii.

Kwa mujibu wa utafiti wa hadhira wa matumizi ya mtandao uliofanywa na GeoPoll (2018), na kudhaminiwa na MCT (Agosti/ Septemba 2018), Muungwana Blog ni miongoni mwa tovuti maarufu za habari (hadhira ya 1%), miongoni mwa majukwaa 39 ya blog na tovuti nchini Tanzania. Hadi 1 2018, Muungwana blog ilikuwa na miaka mitatu tangu kuanzishwa kwake.

Kampuni ya vyombo vya Habari
Aina za vyombo vya habari
  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ