Aga Khan
Prince Shah Karim Al Hussain Aga Khan alizaliwa tarehe 13 Desemba 1939. Ni Iman wa Nazir Ismailia wa 49 ni madhehebu ya Ismalia ndani ya Uislamu wa Shia. Amekuwa na cheo cha Iman chini ya cheo cha Aga Khan IV tangu 1957 alipomrithi babu yake akiwa na umri wa miaka, Naziri inaamini kuwa Aga Khan ni mrithi wa moja kwa moja wa ukoo wa Nabii Muhamad.
Tangu alipopewa wadhifa huu mwak 1957 Aga Khan amejishughulisha na mabadiliko makubwa ya kisiasa na kiuchumi ambayo yamewaathiri wafuasi wake wa Naziri Ismailia, ikiwemo uhuru wa kikoloni, kufukuzwa kwa saasia kutoka Uganda, uhuru wan chi za Asia ya kati kama vile Tajikistan kutoka ilyokuwa Soviet Union na mgogoro unaendelea nchini Afghanistan na Pakistan.
Hivi sasa anajishughulisha katika nchi zinazoendelea hasa zile wafuasi wengi wa Ismailia kupitia Aga Khan Development Network, ambayo yeye ni mwasisi na Mwenyekiti. Ni miongoni mwa mitandao mikubwa ya binafsi ya maendeleo duniani. Mitandao huu unaendesha nation Media iliyopo Kenya na kuendesha vyombo Afrika Mashariki – kwa mfano Mwananchi ambalo ni maarufu sana nchini Tanzania. Mtandao huo pia unafanyakazi ya kuboresha mazingira, afya, elimu, usanifu majengo, utamaduni na ufadhili wa fedha kiasi, maendeleo ya vijijini kupunguza maafa , na kuhimiza kampuni za sekta binafsi.
Licha ya jukumu lake kama kiongozi wa kiroho, na jukumu lake la uhisani ya kawaida kwenye uraia wa uingereza na miongoni mwa ukoo wa kifalme tajiri sana. Idadi ya utajiri wake unafikia kati ya US $ 3 billions AgaKhan amehusishwa na miradi mbalimbali ya biashara ikiwemo viti vya farasi. Shughuli ya million ya dola yam bio za farasi na ufugaji wao, inasemekana kuwa miongoni kwa vyanzo vikuu vya kipato cha Aga Khan zaidi ya michango ya wafuasi wake. Haijulikani iwapo Iman Aga Khan ananufaika moja kwa moja na michango hiyo au ni uhisani wake tu.
Wakati wafuasi wake wanaangalia elimu ya Harvad aliyoipata Iman kwenye dini, uhisani na amani dunianu, waandishi habari wachunguzi. Mara nnyingi wanaandika maisha binafsi ya Aga Khan ya ndoa zake, talaka na mambo ya nje ya ndoa.
Biashara
Following organisations operate globally:
AKA
Aga Khan Academies
AKAH
Aga Khan Agency for Habitat
AKAM
Aga Khan Agency for Microfinance
AKES
Aga Khan Education Services
AKF
Aga Khan Foundation
AKFED
Aga Khan Fund for Economic Development
AKHS
Aga Khan Health Services
AKTC
Aga Khan Trust for Culture
AKU
Aga Khan University
UCA
University of Central Asia
Sports
horse racing and breeding operations
Hospitality
luxury hotels
Familia & Marafiki
Maslahi jumuishi ya wanafamilia + Marafiki
Prime Minister to Canada. According to his own statements, "The Aga Khan has been a long-time family friend,". The Aga Khan’s relationship with the Trudeaus goes back to the 1970s when Ugandan dictator Idi Amin expelled Ismailis from his country. The Aga Khan called on then-Prime Minister Pierre Trudeau to give his people a safe haven, and Canada took in 7,000 Ismailis. Since 2004, the Canadian government has sponsored 16 global development initiatives in partnership with the foundation, worth a total of more than $300 million.
Maelezo ya ziada
The Star (Jan 2017). 7 Things you wanted to know about the Aga Khan controversy. Accessed on Oct 24, 2018.